Jumatano, 7 Agosti 2013

Picha: Diamond ashoot video Afrika Kusini na Ferrari yenye customised plates ‘Wasafi’ ‘Platnumz’

Picha: Diamond ashoot video Afrika Kusini na Ferrari yenye customised plates ‘Wasafi’ ‘Platnumz’

Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule na kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa.
bef82682fdd111e2a8b522000a9f3cba_7
Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’.
0b54d01efdd411e2bd3c22000ae90db5_7
Mafundi wa Afrika Kusini wakihakikisha plate ya Wasafi imekaa vizuri
0f7a71cefdef11e2999e22000a1f8afc_7
dd5ff8c8fdce11e2aa0322000a1fa408_7
Inaonekana hii, Diamond Platnumz aka Coca Boy amejiandaa kwenda international zaidi.
Picha: Babutale (Instagram)

Compassion FPCT Mlowa Zakayo

Compassion FPCT Mlowa Uhimidiwe

Compassion FPCT Mlowa Nitalihimidi

Jumanne, 6 Agosti 2013

Compassion FPCT Mlowa Nikulipe nini

Compassion FPCT Mlowa Namshukuru Mungu

Compassion FPCT Mlowa Heri kumkimbilia Bwana

Compassion FPCT Mlowa Fanya uchaguzi

Compassion FPCT Mlowa Bwana Yesu

Compassion FPCT Mlowa Bwana utete nao

Compassion FPCT Mlowa Afichae dhambi

Ebeneza Sodoma na Gomola

Ebeneza_Siku_mbaya

"NINA JINSIA MBILI, NATAFUTA MPENZI WA JINSIA YOYOTE"...OMBI LA MDAU WETU


Dunia  ina  mengi....Dawa  ya  tatizo  ni  kukubaliana  nalo. Huyu  ni  jamaa  mwenye  jinsia  mbili   na  kwa  mujibu  wa  maelezo  yake  anadai  kuwa  jinsia  zote  mbili  ziko  poa (Active)..  Kinachofurahisha  zaidi  ni  kwamba  jamaa kakubaliana  na  tatizo...Haoni  kama  ni  shida  na  anaisha  maisha  ya  kawaida  kabisa.


 
 

Picha: Diamond ashoot video Afrika Kusini na Ferrari yenye customised plates ‘Wasafi’ ‘Platnumz’

Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule na kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa. Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’. Mafundi wa Afrika Kusini wakihakikisha plate ya Wasafi imekaa vizuri Inaonekana hii, Diamond Platnumz aka Coca Boy amejiandaa kwenda...

SIDE BOY CRIP DANCER

Side Boy akijifua katika kufanya maandalizi ya kuingia klwenye Interview ya madensa, ambao watakaobahatika kuchaguliwa wataweza kufanya shoo na mwana muziki AY katika ngoma yake mpya ijulikanayo kama "Bila kukunja goti"

Sniper: Ghost Warrior 2 - Walkthrough Part 1 - Act 1: Mission 1: Communi...

                                               
Kwa wale ambao tunapenda kucheza magemu kwenye computer zetu kuna action hii ya gemu lijulikanalo kama Sniper Ghost Worrior 2. ni nzuri ingia google na uandike hivyo utaona kisha u download.

AMTOROKA MME WAKE NA KUKIMBILIA KUSIKOJULIKANA

AMTOROKA MME WAKE NA KUKIMBILIA KUSIKOJULIKANA                  ...