Jumanne, 6 Agosti 2013

Picha: Diamond ashoot video Afrika Kusini na Ferrari yenye customised plates ‘Wasafi’ ‘Platnumz’

Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule na kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa. Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’. Mafundi wa Afrika Kusini wakihakikisha plate ya Wasafi imekaa vizuri Inaonekana hii, Diamond Platnumz aka Coca Boy amejiandaa kwenda...

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

AMTOROKA MME WAKE NA KUKIMBILIA KUSIKOJULIKANA

AMTOROKA MME WAKE NA KUKIMBILIA KUSIKOJULIKANA                  ...