MOLIMOYO MEDIA PRODUCTION

"COMEDY PRODUCTIONS ,PHOTOS EDITIONS, WELDING EVENTS,NEWS AND OTHERS UNDER NICODEMO STUDIO"

Jumamosi, 28 Septemba 2013

   


DOREENECAS

          Doreenecas ni mototo wa kwanza wa Familia ya
Mr & Mrs Nicodemo. Amezaliwa tarehe 18 August 2013 katika Hospital ya Mt.Gaspar iliyoko kata ya Itigi Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida, ni majariwa ya Mwenyezi Mungu kuwajalia kupata Mtoto kwani ni vijana wachache ambao wanaweza kupendana na kuunda familia. Hivyo Tunaomba Mungu aendelee kutujalia tuwe na maisha mazuri ya kumpendeza Mungu ili tuweze kumlea mtoto wetu katika maadili mazuri ya kumjua Mungu kwani hii ndio nia pekee ya kuweza kufanikiwa katika maisha. Sisi kama wazazi wa mototo Doreenecas tunamuombea Maisha mazuri na Mungu amjalie akue salama.


kwa Septemba 28, 2013
Tuma Hii kwa Barua pepeBlogu Hii!Chapisha kwenye XShiriki kwenye FacebookShiriki kwenye Pinterest

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani
Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom)

AMTOROKA MME WAKE NA KUKIMBILIA KUSIKOJULIKANA

AMTOROKA MME WAKE NA KUKIMBILIA KUSIKOJULIKANA                  ...

  • RAMANI YA AFRIKA
    Africa ni Bala linalopendwa na watu wengi Duniani na ina vivutio vya aina ya pekee kulio maeneomengine duniani kote hivyo twajivunia ...
  • Compassion FPCT Mlowa Fanya uchaguzi
  • ANASWA NA MKE WA MTU
    ILE Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya GPL imeshuhudia mume wa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Emmanuel Benedict na mke wa mtu aitwaye R...

Tafuta katika Blogu Hii

  • Nyumbani

Kunihusu

Picha yangu
Private Studio
Tazama wasifu wangu kamili

Kumbukumbu la Blogu

  • Machi 2020 (1)
  • Agosti 2018 (2)
  • Januari 2018 (1)
  • Julai 2017 (2)
  • Desemba 2016 (1)
  • Machi 2016 (4)
  • Februari 2016 (1)
  • Desemba 2015 (1)
  • Novemba 2015 (2)
  • Agosti 2015 (2)
  • Mei 2015 (1)
  • Aprili 2015 (2)
  • Mei 2014 (9)
  • Februari 2014 (2)
  • Januari 2014 (4)
  • Oktoba 2013 (32)
  • Septemba 2013 (8)
  • Agosti 2013 (19)

Lebo

  • NICODEMO BLOG

Ripoti Matumizi Mabaya

Powered By Blogger

(www.molimoyo.blogspot.com)

Machapisho
Atom
Machapisho
Maoni
Atom
Maoni

www.molimoyo.blogspot.com

Matokeo ya utafutaji

Utachorewa mjengo

Utachorewa mjengo
Ramani yake ipo
www.nicodemoe.blogspot.com. Mandhari ya Safiri. Inaendeshwa na Blogger.