Alhamisi, 30 Januari 2014

DOREENECAS

Tangu kuzaliwa kwake Hapa akiwa na miezi kitano, Mtoto Doreenecas Mungu amjalie aendelee kukua katika Maisha yake Pamoja na wazazi wake yaani baba yaye Nicodemo na mama yake Jeneriza

Jumatatu, 27 Januari 2014

AJALI YA NOAH SINGIDA

Gari ya abiria aina ya Noah imepata ajali mbaya baada ya kugongana uso kwa uso na Lori,hali iliyopelekea gari hilo la abiria (Noah kuburuzwa na kutupwa kando kando ya barabara kama lionekanavyo pichani mapema leo asubuhi,ajali hiyo imetokea kijiji cha Issuna,kijiji cha kwanza kutokea Manyoni mkoani Singida likielekea Mkoani Dodoma.
Ajali hiyo ya kusikitisha ilitokea huku mvua kubwa ikinyesha eneo hilo,hali iliyopelekea kupata msaada haraka kuwa ya taabu,Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani Singida alibainisha kuwa marehemu wote na majeruhi walikimbizwa hospitali Mkoani Singida.
Aidha mpaka sasa imekuwa vigumu kujua idadi kamili ya abiria waliokuwa kwenye gari hiyo aina ya Noah,hali inayopelekea pia utata wa kutambua majina ya marehemu.Katika ajali hiyo Dereva wa Lori na Kondakta wake walikimbia eneo la tukio,Polisi bado inawatafuta kufahamu kwa kina cha chanzo cha ajali hiyo kutokea.

HABARI MPASUKO; BASI LA ABIRIA LA MTEI LACHOMWA MOTO BAADA YA KUGONGA BODABODA NA KUUA WATU (3)

Leo asubuhi basi la abiria  la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto na wananchi wenye hasira maeneo ya Njia panda Mnadani, mkoani Singida baada ya bus hilo kugonga pikipiki yaani bodaboda na kuua watu watatu hapo hapo. Zifuatazo ni taswira za basi hilo lililokuwa wakati na baada ya kuchomwa moto

AJALI MBAYA YA GARI AINA YA NOAH NA LORI MKOANI SINGIDA,WATU 13 WAFARIKI PAPO HAPO LEO

Gari ya abiria aina ya Noah imepata ajali mbaya baada ya kugongana uso kwa uso na Lori,hali iliyopelekea gari hilo la abiria (Noah kuburuzwa na kutupwa kando kando ya barabara kama lionekanavyo pichani mapema leo asubuhi,ajali hiyo imetokea kijiji cha Issuna,kijiji cha kwanza kutokea Manyoni mkoani Singida likielekea Mkoani Dodoma.
Ajali hiyo ya kusikitisha ilitokea huku mvua kubwa ikinyesha eneo hilo,hali iliyopelekea kupata msaada haraka kuwa ya taabu,Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani Singida alibainisha kuwa marehemu wote na majeruhi walikimbizwa hospitali Mkoani Singida.
Aidha mpaka sasa imekuwa vigumu kujua idadi kamili ya abiria waliokuwa kwenye gari hiyo aina ya Noah,hali inayopelekea pia utata wa kutambua majina ya marehemu.Katika ajali hiyo Dereva wa Lori na Kondakta wake walikimbia eneo la tukio,Polisi bado inawatafuta kufahamu kwa kina cha chanzo cha ajali hiyo kutokea.

AMTOROKA MME WAKE NA KUKIMBILIA KUSIKOJULIKANA

AMTOROKA MME WAKE NA KUKIMBILIA KUSIKOJULIKANA                  ...